CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 8
___ ni mwanafunzi mpole.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Jaza nafasi kwa kiwakilishi sahihi kutoka kwenye mabano.
______ ni mwanafunzi mpole.
- AHuu
- BHuyu
Answer
B. Huyu
"Mwanafunzi" ni wa ngeli ya A-WA (umoja), kwa hivyo kionyeshi ni "huyu". "Huu" ni wa ngeli ya U-I, k.m. mti huu.