CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 43
Mwalimu aliwaambia wafungue ___ lengwa.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yote.
Riziki na Bakari ni wanafunzi katika shule ya msingi ya Shaurimoyo. Shule hiyo iko kaskazini mwa mji wa Salama, ambako watoto hao wanaishi.
Ni miezi minne sasa tangu mwalimu wao, Bw. Imani, awape vipakatalishi. Riziki na Bakari hufurahia sana kusomea habari mbalimbali kwenye vipakatalishi hivyo. Pia hutumia vipakatalishi kutazama vipindi vya masomo vilivyorekodiwa.
Bw. Imani aliwaelekeza wafungue faili zenye mada lengwa na kuepuka kuwasiliana na watu wasiowajua mtandaoni. Baada ya kumaliza, wanapaswa kufunga faili na kuzima vipakatalishi.
Mwalimu aliwaambia wafungue ______ lengwa.
Answer
Faili zenye mada
Bw. Imani "aliwaelekeza wafungue faili zenye mada lengwa".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.