naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 44

Riziki na Bakari hutumia vipakatalishi kutazama nini?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yote.

Riziki na Bakari ni wanafunzi katika shule ya msingi ya Shaurimoyo. Shule hiyo iko kaskazini mwa mji wa Salama, ambako watoto hao wanaishi.

Ni miezi minne sasa tangu mwalimu wao, Bw. Imani, awape vipakatalishi. Riziki na Bakari hufurahia sana kusomea habari mbalimbali kwenye vipakatalishi hivyo. Pia hutumia vipakatalishi kutazama vipindi vya masomo vilivyorekodiwa.

Bw. Imani aliwaelekeza wafungue faili zenye mada lengwa na kuepuka kuwasiliana na watu wasiowajua mtandaoni. Baada ya kumaliza, wanapaswa kufunga faili na kuzima vipakatalishi.

Riziki na Bakari hutumia vipakatalishi kutazama nini?

Answer

Vipindi vya masomo vilivyorekodiwa.

Kifungu kinasema: "Pia hutumia vipakatalishi kutazama vipindi vya masomo vilivyorekodiwa."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test