CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 27
Mlango umepakwa rangi. → ___
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Andika upya sentensi zifuatazo katika wingi:
Mlango umepakwa rangi. → ______
Answer
Milango imepakwa rangi.
Mlango ni ngeli ya U-I: mlango → milango, umepakwa → imepakwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.