CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 33
Ndege ametua ___ mpera.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vihusishi
Jaza nafasi kwa kihusishi sahihi: (juu ya, ndani ya, karibu na)
Ndege ametua ______ mpera.
- Ajuu ya
- Bndani ya
- Ckaribu na
Answer
A. juu ya
Ndege hutua juu ya matawi ya mti: "Ndege ametua juu ya mpera."