CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 38
Ni mmea gani huliwa mashina?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yote.
Mmea ni kiumbe kilicho na uhai chenye majani, mizizi na shina. Mimea inaweza kupandwa kwa mbegu au kwa kutumia matawi. Faida za mimea ni nyingi na hazipaswi kupuuzwa.
Baadhi ya mimea huzalisha matunda ambayo huliwa na binadamu, wanyama na ndege. Mimea mingine huliwa mashina kama vile miwa. Mingine huliwa mizizi kama vile viazi, na mingine huliwa matunda kama vile maembe.
Mimea mingi huwa na rangi ya kijani kibichi.
Ni mmea gani huliwa mashina?
Answer
Miwa.
Kifungu kinasema: "Mimea mingine huliwa mashina kama vile miwa."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mimea mingi huwa na rangi gani?Question 39
- Taja viumbe vitatu vinavyotegemea mimea kwa chakula: (i) (ii) (iii)Question 40
- Shule yao Riziki na Bakari iko wapi?Question 41
- Ni muda gani umepita tangu wapokee vipakatalishi?Question 42
- Mwalimu aliwaambia wafungue ___ lengwa.Question 43
- Riziki na Bakari hutumia vipakatalishi kutazama nini?Question 44