CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 37
Taja faida mbili za mimea: (i) (ii)
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yote.
Mmea ni kiumbe kilicho na uhai chenye majani, mizizi na shina. Mimea inaweza kupandwa kwa mbegu au kwa kutumia matawi. Faida za mimea ni nyingi na hazipaswi kupuuzwa.
Baadhi ya mimea huzalisha matunda ambayo huliwa na binadamu, wanyama na ndege. Mimea mingine huliwa mashina kama vile miwa. Mingine huliwa mizizi kama vile viazi, na mingine huliwa matunda kama vile maembe.
Mimea mingi huwa na rangi ya kijani kibichi.
Taja faida mbili za mimea:
(i)
(ii)
Answer
(i) Mimea hutupa chakula kama matunda, miwa na viazi. (ii) Mimea hutoa hewa safi.
Kifungu kinaonyesha kwamba mimea hutupa chakula: matunda kama maembe, mashina kama miwa na mizizi kama viazi. Mimea pia hutoa hewa safi na kupendezesha mazingira.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni mmea gani huliwa mashina?Question 38
- Mimea mingi huwa na rangi gani?Question 39
- Taja viumbe vitatu vinavyotegemea mimea kwa chakula: (i) (ii) (iii)Question 40
- Shule yao Riziki na Bakari iko wapi?Question 41
- Ni muda gani umepita tangu wapokee vipakatalishi?Question 42
- Mwalimu aliwaambia wafungue ___ lengwa.Question 43