CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 36
Mimea hupandwa kwa ___ au ___.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yote.
Mmea ni kiumbe kilicho na uhai chenye majani, mizizi na shina. Mimea inaweza kupandwa kwa mbegu au kwa kutumia matawi. Faida za mimea ni nyingi na hazipaswi kupuuzwa.
Baadhi ya mimea huzalisha matunda ambayo huliwa na binadamu, wanyama na ndege. Mimea mingine huliwa mashina kama vile miwa. Mingine huliwa mizizi kama vile viazi, na mingine huliwa matunda kama vile maembe.
Mimea mingi huwa na rangi ya kijani kibichi.
Mimea hupandwa kwa ______ au ______.
Answer
Mbegu au matawi.
Kifungu kinasema: "Mimea inaweza kupandwa kwa mbegu au kwa kutumia matawi."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Taja faida mbili za mimea: (i) (ii)Question 37
- Ni mmea gani huliwa mashina?Question 38
- Mimea mingi huwa na rangi gani?Question 39
- Taja viumbe vitatu vinavyotegemea mimea kwa chakula: (i) (ii) (iii)Question 40
- Shule yao Riziki na Bakari iko wapi?Question 41
- Ni muda gani umepita tangu wapokee vipakatalishi?Question 42