CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025: CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha)
Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 25 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 25 questions with answers
- Question 1: Ndege wa kwanza kumshauri kiboko alikuwa nani?Answer: B. Gude
- Question 2: Rafiki ya Kiboko alikuwaAnswer: D. Mamba.
- Question 3: Mlamba alimshauri Kiboko siku yaAnswer: B. pili
- Question 4: Kukata tamaa ni sawa naAnswer: C. kufa moyo
- Question 5: Ni nani aliyemfaa kiboko zaidi?Answer: C. Jogoo
- Question 6: Mzee Mwonga alijulikana sana kutokana naAnswer: A. usimuliaji wa hadithi
- Question 7: Mtu anapokuwa amezeeka sana, tunasema amekulaAnswer: B. chumvi nyingi
- Question 8: Mara nyingi hadithi za mzee Mwonga zilihusuAnswer: A. watu wa kitambo
- Question 9: Kulingana na taarifa, hii si kweli kusema,Answer: C. mzee Mwonga alikuwa na ubinafsi mwingi
- Question 10: Kulingana na kifungu hiki, hadithi za mzee Mwonga zilikuwa zinahimizaAnswer: A. kurekebisha tabia mbaya
- Question 11: Pengo la 16Answer: B. muda
- Question 12: Pengo la 17Answer: C. cha
- Question 13: Pengo la 18Answer: B. jangwa
- Question 14: Pengo la 19Answer: A. lakini
- Question 15: Pengo la 20Answer: D. ukame
- Question 16: Tumia kiunganishi kifaacho. Simjui ___ simfahamu.Answer: D. wala
- Question 17: Kamilisha sentensi ifuatayo. Tuliona ___ la nyuki mtini.Answer: B. bumba
- Question 18: Andika wingi wa; "Uteo mzuri"Answer: C. Teo nzuri
- Question 19: Chagua kinyume cha 'ingia'.Answer: A. toka
- Question 20: Mtu akikuambia "paukwa!" utajibu vipi?Answer: B. Pakawa
- Question 21: Kanusha kitenzi kifuatacho. "Alicheza"Answer: C. Hakucheza
- Question 22: Kiatu ___ ni kizuri.Answer: A. hiki
- Question 23: Nyumba ___ inapendeza.Answer: C. yao
- Question 24: Jibu la salamu 'Alamsiki' niAnswer: D. binuru.
- Question 25: Chagua orodha yenye vitenzi pekee.Answer: C. Simama, keti, tembea