CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 21
Kanusha kitenzi kifuatacho. "Alicheza"
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
Kutoka swali la 21 hadi 30, chagua jibu sahihi kulingana na maagizo.
26. Kanusha kitenzi kifuatacho. "Alicheza"
- AAtacheza
- BHatacheza
- CHakucheza
- DHalicheza.
Answer
C. Hakucheza
Wakati uliopita "alicheza" hukanushwa kuwa "hakucheza".