CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 25
Chagua orodha yenye vitenzi pekee.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Kutoka swali la 21 hadi 30, chagua jibu sahihi kulingana na maagizo.
30. Chagua orodha yenye vitenzi pekee.
- AMasomo, soma, kusoma
- BAndika, kalamu, karatasi
- CSimama, keti, tembea
- DKunywa, meza, godoro.
Answer
C. Simama, keti, tembea
Simama, keti na tembea ni vitendo vyote.