CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 20
Mtu akikuambia "paukwa!" utajibu vipi?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitendawili
Kutoka swali la 21 hadi 30, chagua jibu sahihi kulingana na maagizo.
25. Mtu akikuambia "paukwa!" utajibu vipi?
- ASawa
- BPakawa
- CKiza
- DMaziwa.
Answer
B. Pakawa
Hadithi huanza: "Paukwa!" — "Pakawa!"