naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 12

Pengo la 17

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Soma kifungu hiki kisha ujaze mapengo 16 - 20 kwa kutumia neno sahihi kati ya yale uliyopewa.

Kwa __16__ mrefu kijiji __17__ Nyuani eneo la Mbilini kilionekana kama __18__. Ardhi ilikuwa na rutuba __19__ mvua iliadimika kama wali wa daku. Kijiji chenyewe kilikuwa na __20__.

Pengo la 17

  1. Aya
  2. Bla
  3. Ccha
  4. Dwa

Answer

C. cha

Kijiji ni ngeli ya KI-VI: "kijiji cha Nyuani".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test