CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 11
Pengo la 16
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu hiki kisha ujaze mapengo 16 - 20 kwa kutumia neno sahihi kati ya yale uliyopewa.
Kwa __16__ mrefu kijiji __17__ Nyuani eneo la Mbilini kilionekana kama __18__. Ardhi ilikuwa na rutuba __19__ mvua iliadimika kama wali wa daku. Kijiji chenyewe kilikuwa na __20__.
Pengo la 16
- Amda
- Bmuda
- Ckipindi
- Dmiaka
Answer
B. muda
"Kwa muda mrefu" (si "mda").
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Tumia kiunganishi kifaacho. Simjui ___ simfahamu.Question 16
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Tuliona ___ la nyuki mtini.Question 17
- Andika wingi wa; "Uteo mzuri"Question 18
- Chagua kinyume cha 'ingia'.Question 19
- Mtu akikuambia "paukwa!" utajibu vipi?Question 20
- Kanusha kitenzi kifuatacho. "Alicheza"Question 21