CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 16
Tumia kiunganishi kifaacho. Simjui ___ simfahamu.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi
Kutoka swali la 21 hadi 30, chagua jibu sahihi kulingana na maagizo.
21. Tumia kiunganishi kifaacho. Simjui ________ simfahamu.
- Ana
- Bila
- Clakini
- Dwala
Answer
D. wala
"Wala" huunganisha sentensi mbili za kukanusha: simjui wala simfahamu.