naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 17

Kamilisha sentensi ifuatayo. Tuliona ___ la nyuki mtini.

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

Kutoka swali la 21 hadi 30, chagua jibu sahihi kulingana na maagizo.

22. Kamilisha sentensi ifuatayo. Tuliona _____ la nyuki mtini.

  1. Amzinga
  2. Bbumba
  3. Cbunda
  4. Dwingu

Answer

B. bumba

Kundi la nyuki huitwa bumba: "bumba la nyuki". ("Mzinga" ni nyumba ya nyuki, na hutumia "wa": mzinga wa nyuki.)

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test