naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 10

Kulingana na kifungu hiki, hadithi za mzee Mwonga zilikuwa zinahimiza

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kisa kifuatacho kisha ujibu maswali 11 - 15.

Mzee Mwonga alikuwa amekula chumvi nyingi. Yaani alikuwa amezeeka sana. Moja ya sifa zake kuu ilikuwa ni kusimulia hadithi. Matamshi yake yalikuwa bora, nayo sauti yake ilikuwa kama ya kinanda. Wakati wa jioni wajukuu wake walimzingira ili kupata uhondo wa hadithi zake zisizo na mwisho. Mara nyingi hadithi zake zilihusu jinsi ambavyo watu wa kitambo waliishi. Wajukuu wake walizidi kufurahia kila siku kwa sababu hadithi za babu yao ziliwachangamsha na kuwarekebisha kitabia.

15. Kulingana na kifungu hiki, hadithi za mzee Mwonga zilikuwa zinahimiza

  1. Akurekebisha tabia mbaya
  2. Bkuwa dijitali
  3. Ckula chumvi nyingi
  4. Dkufanya kazi kwa malipo.

Answer

A. kurekebisha tabia mbaya

Hadithi ziliwarekebisha wajukuu kitabia.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test