naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 9

Kulingana na taarifa, hii si kweli kusema,

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kisa kifuatacho kisha ujibu maswali 11 - 15.

Mzee Mwonga alikuwa amekula chumvi nyingi. Yaani alikuwa amezeeka sana. Moja ya sifa zake kuu ilikuwa ni kusimulia hadithi. Matamshi yake yalikuwa bora, nayo sauti yake ilikuwa kama ya kinanda. Wakati wa jioni wajukuu wake walimzingira ili kupata uhondo wa hadithi zake zisizo na mwisho. Mara nyingi hadithi zake zilihusu jinsi ambavyo watu wa kitambo waliishi. Wajukuu wake walizidi kufurahia kila siku kwa sababu hadithi za babu yao ziliwachangamsha na kuwarekebisha kitabia.

14. Kulingana na taarifa, hii si kweli kusema,

  1. Amzee Mwonga anapendwa na wajukuu wake
  2. Bsauti ya mzee Mwonga ilikuwa kama ya kinanda
  3. Cmzee Mwonga alikuwa na ubinafsi mwingi
  4. Dmatamshi ya mzee Mwonga yalikuwa bora.

Answer

C. mzee Mwonga alikuwa na ubinafsi mwingi

Kifungu hakisemi kuwa alikuwa na ubinafsi; alikuwa akiwasimulia wajukuu hadithi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test