CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 7
Mtu anapokuwa amezeeka sana, tunasema amekula
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 6) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Msamiati
Soma kisa kifuatacho kisha ujibu maswali 11 - 15.
Mzee Mwonga alikuwa amekula chumvi nyingi. Yaani alikuwa amezeeka sana. Moja ya sifa zake kuu ilikuwa ni kusimulia hadithi. Matamshi yake yalikuwa bora, nayo sauti yake ilikuwa kama ya kinanda. Wakati wa jioni wajukuu wake walimzingira ili kupata uhondo wa hadithi zake zisizo na mwisho. Mara nyingi hadithi zake zilihusu jinsi ambavyo watu wa kitambo waliishi. Wajukuu wake walizidi kufurahia kila siku kwa sababu hadithi za babu yao ziliwachangamsha na kuwarekebisha kitabia.
12. Mtu anapokuwa amezeeka sana, tunasema amekula
- Amiaka mingi
- Bchumvi nyingi
- Cumri mwingi
- Dshida nyingi.
Answer
B. chumvi nyingi
"Amekula chumvi nyingi" ni nahau ya kuzeeka sana.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mara nyingi hadithi za mzee Mwonga zilihusuQuestion 8
- Kulingana na taarifa, hii si kweli kusema,Question 9
- Kulingana na kifungu hiki, hadithi za mzee Mwonga zilikuwa zinahimizaQuestion 10
- Tumia kiunganishi kifaacho. Simjui ___ simfahamu.Question 16
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Tuliona ___ la nyuki mtini.Question 17
- Andika wingi wa; "Uteo mzuri"Question 18