CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026: Lugha: Formative Assessment 2026
Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · Tathmini Endelevu 2026 (Kiswahili Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Mazungumzo haya yamefanyika wakati gani?Answer: A. Asubuhi
- Question 2: Ni kauli gani ya adabu imetumika?Answer: D. Pole sana kwa msiba
- Question 3: Ikiwa juzi ilikuwa Jumamosi, Rita na Tina walikutana siku gani?Answer: D. Jumatatu
- Question 4: Chagua kauli sahihi kulingana na mazungumzo:Answer: C. Maradhi aliyougua nyanya yaliwatenganisha marafiki hawa kwa muda
- Question 5: Neno 'sahibu' limetumika katika mazungumzo. Chagua lisilo na maana sawa:Answer: D. Muhibu
- Question 6: Mvua husababisha madhara gani?Answer: A. Mafuriko
- Question 7: Ni kitu gani kinachosababisha maafa ya wanyama wa porini?Answer: C. Ukosefu wa maji na chakula
- Question 8: Ni kwa nini si salama kutembea usiku?Answer: A. Huu ndio wakati wanyama pori wanatafuta chakula na wanaweza kukushambulia
- Question 9: Chagua maana ya neno 'inayonusurika' kama lilivyotumika:Answer: D. Inayoepuka
- Question 10: Kulingana na aya ya kwanza:Answer: B. Salome alikuwa na mazoea ya kusakura mtandaoni
- Question 11: Kwa nini Salome aliuangalia ujumbe mara tatu?Answer: C. Alitaka kuthibitisha ukweli wa ujumbe
- Question 12: Ni hatua gani ya kiusalama iliyochukuliwa na Salome?Answer: C. Kuwapasha habari polisi kuhusu njama ya kutapeliwa
- Question 13: Juma na wenzake hujumuika kwa madhumuni gani?Answer: B. Kusali
- Question 14: Ni ipi si njia ya kudumisha usafi?Answer: D. Kula chakula bora
- Question 15: Kutunza mazingira kunamaanisha nini?Answer: A. Kulinda
- Question 16: Chagua neno sahihi:Answer: C. yanayolitatiza
- Question 17: Chagua neno sahihi:Answer: B. letu
- Question 18: Chagua neno sahihi:Answer: D. ambazo
- Question 19: Chagua methali inayofaa:Answer: A. Nia zikiwa moja kilicho mbali huja
- Question 20: Chagua sahihi:Answer: D. Wote
- Question 21: Tambua aina ya kivumishi kilichotumika: Wanariadha kadhaa wamejishindia zawadi.Answer: A. Idadi
- Question 22: Andika kwa umoja: Majumba mazuri marefu mengine yamejengwa.Answer: B. Jumba zuri refu jingine limejengwa
- Question 23: Chagua jawabu sahihi kujaza nafasi: Jogoo shambani ___ haliwiki mjini.Answer: C. la
- Question 24: Chagua nomino za YA-YA pekee:Answer: B. Mazingira, maziwa, maclewano
- Question 25: Chagua alama ya uakifishaji inayofaa: Hadithi hiyo ilinifunza maadili ___ Kuwaheshimu wakubwa na wadogo.Answer: B. ,
- Question 26: Panga maneno kwa mpangilio sahihi: (i) riadha (ii) kandanda (iii) dhiki (iv) dhahabu (v) dawaAnswer: D. (v), (iv), (iii), (ii), (i)
- Question 27: Tegua kitendawili: Hakihitaji maji, wala udongo, wala chakula lakini chamea.Answer: B. Nywele
- Question 28: Chagua jibu lenye nomino isiyofaa:Answer: D. Kichaka cha mboga
- Question 29: Chagua maana inayofaa ya kupigachatyani:Answer: A. Kuchemua
- Question 30: Chagua kinyume cha neno lililopigiwa mstari: Mwalimu ametabasamu.Answer: C. Amenuna