naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 19

Chagua methali inayofaa:

From Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali

Kifungu
Mojawapo ya mambo taifa linapambana nayo ni magonjwa na ajira za watoto. Mtoto ana haki zake ambazo anastahili kapewa. Watu wote wanapaswa kuweka malengo yao pamoja na kushirikiana ili kulinda haki za watoto.

Chagua methali inayofaa:

  1. ANia zikiwa moja kilicho mbali huja
  2. BUkiona vyaelea jua vimeundwa
  3. CMtegemea cha nduguye hufa maskini
  4. DUndugu ni kufaana

Answer

A. Nia zikiwa moja kilicho mbali huja

Kifungu kinasisitiza 'Watu wote wanapaswa kuweka malengo yao pamoja na kushirikiana ili kulinda haki za watoto' -- wazo la umoja wa nia. Methali 'Nia zikiwa moja kilicho mbali huja' inasisitiza kwamba umoja wa dhamira huleta mafanikio, inayolingana vyema na wazo hili kuliko methali nyingine.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test