CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 20
Chagua sahihi:
From Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi
Kifungu
Mojawapo ya mambo taifa linapambana nayo ni magonjwa na ajira za watoto. Mtoto ana haki zake ambazo anastahili kapewa. Watu wote wanapaswa kuweka malengo yao pamoja na kushirikiana ili kulinda haki za watoto.
Mojawapo ya mambo taifa linapambana nayo ni magonjwa na ajira za watoto. Mtoto ana haki zake ambazo anastahili kapewa. Watu wote wanapaswa kuweka malengo yao pamoja na kushirikiana ili kulinda haki za watoto.
Chagua sahihi:
- AZote
- BChote
- CSote
- DWote
Answer
D. Wote
Kifungu chenyewe kinatumia 'Watu wote wanapaswa...' -- nomino 'watu' iko kwenye ngeli ya WA- (watu), hivyo kivumishi sahihi ni 'Wote', kama kilivyoandikwa kwenye kifungu.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Tambua aina ya kivumishi kilichotumika: Wanariadha kadhaa wamejishindia zawadi.Question 21
- Andika kwa umoja: Majumba mazuri marefu mengine yamejengwa.Question 22
- Chagua jawabu sahihi kujaza nafasi: Jogoo shambani ___ haliwiki mjini.Question 23
- Chagua nomino za YA-YA pekee:Question 24
- Chagua alama ya uakifishaji inayofaa: Hadithi hiyo ilinifunza maadili ___ Kuwaheshimu wakubwa na wadogo.Question 25
- Panga maneno kwa mpangilio sahihi: (i) riadha (ii) kandanda (iii) dhiki (iv) dhahabu (v) dawaQuestion 26