CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 26
Panga maneno kwa mpangilio sahihi: (i) riadha (ii) kandanda (iii) dhiki (iv) dhahabu (v) dawa
From Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Mpangilio wa Alfabeti
Panga maneno kwa mpangilio sahihi:
(i) riadha (ii) kandanda (iii) dhiki (iv) dhahabu (v) dawa
- A(iii), (i), (iv), (v), (ii)
- B(v), (iii), (iv), (i), (ii)
- C(iv), (v), (iii), (ii), (i)
- D(v), (iv), (iii), (ii), (i)
Answer
D. (v), (iv), (iii), (ii), (i)
Kwa mpangilio wa alfabeti: dawa, dhahabu, dhiki, kandanda, riadha -- yaani (v) dawa, (iv) dhahabu, (iii) dhiki, (ii) kandanda, (i) riadha, kama chaguo D linavyoonyesha.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili: Hakihitaji maji, wala udongo, wala chakula lakini chamea.Question 27
- Chagua jibu lenye nomino isiyofaa:Question 28
- Chagua maana inayofaa ya kupigachatyani:Question 29
- Chagua kinyume cha neno lililopigiwa mstari: Mwalimu ametabasamu.Question 30
- Mazungumzo haya yamefanyika wakati gani?Question 1
- Ni kauli gani ya adabu imetumika?Question 2