CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 2
Ni kauli gani ya adabu imetumika?
From Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maneno ya Heshima
Mazungumzo
Tina: (Kwa furaha) Sabalheri sahibu?
Rita: Aheri rafiki yangu. Habari za nyumbani?
Tina: Nzuri ndugu yangu. Umenipotelea siku nyingi. Umekuwa wapi?
Rita: Nimekuwa nikimtunza nyanya nyumbani kwake. Ameugua kwa muda mrefu sana.
Tina: Pole sana dada. Je, amepata afueni?
Rita: (Akidondokwa na machozi) La! Nyanya aliipungia dunia mkono wa buriani juzi. Kwa sasa, mipango ya mazishi yake imeshika kazi.
Tina: (Akimfariji na kumkumbatia) Kwa mara nyingine tena, pokea pole zangu. Mungu awahurumie.

- ASamahani: kwa kukukatiza
- BNimekuwa nikimtunza nyanya
- CKutufariji baada ya kuaga dunia
- DPole sana kwa msiba
Answer
D. Pole sana kwa msiba
Tina anamwambia Rita 'Pole sana dada' na baadaye 'pokea pole zangu' -- hii ni kauli ya adabu ya kutoa pole kwa msiba, inayolingana na chaguo D. Machaguo mengine si maneno halisi ya adabu yaliyotumika kwenye mazungumzo haya.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ikiwa juzi ilikuwa Jumamosi, Rita na Tina walikutana siku gani?Question 3
- Chagua kauli sahihi kulingana na mazungumzo:Question 4
- Neno 'sahibu' limetumika katika mazungumzo. Chagua lisilo na maana sawa:Question 5
- Mvua husababisha madhara gani?Question 6
- Ni kitu gani kinachosababisha maafa ya wanyama wa porini?Question 7
- Ni kwa nini si salama kutembea usiku?Question 8