CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 7
Ni kitu gani kinachosababisha maafa ya wanyama wa porini?
From Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Kifungu cha Ufahamu
Mvua ni kitu cha baraka, lakini inapozidi huleta maafa. Mvua nyingi husababisha mafuriko, mmomonyoko wa udongo, mimea kuharibiwa na miti kung'oka. Hali hii huleta upungufu wa mavuno. Aidha, mvua nyingi hufuatwa na kiangazi. Ardhi hukauka polepole na mimea huanza kunyauka. Hali hii huwa mwanzo wa njaa kuu. Wanyama wa porini kama vile ngiri, fisi, simba hufa kwa wingi kutokana na njaa na kiu.
Mvua ni kitu cha baraka, lakini inapozidi huleta maafa. Mvua nyingi husababisha mafuriko, mmomonyoko wa udongo, mimea kuharibiwa na miti kung'oka. Hali hii huleta upungufu wa mavuno. Aidha, mvua nyingi hufuatwa na kiangazi. Ardhi hukauka polepole na mimea huanza kunyauka. Hali hii huwa mwanzo wa njaa kuu. Wanyama wa porini kama vile ngiri, fisi, simba hufa kwa wingi kutokana na njaa na kiu.
Ni kitu gani kinachosababisha maafa ya wanyama wa porini?
- AMashambulizi ya viwavi
- BMmomonyoko wa udongo
- CUkosefu wa maji na chakula
- DMvua inayopita kiasi
Answer
C. Ukosefu wa maji na chakula
Kifungu kinasema 'Wanyama wa porini kama vile ngiri, fisi, simba hufa kwa wingi kutokana na njaa na kiu' -- yaani kwa ukosefu wa chakula na maji.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni kwa nini si salama kutembea usiku?Question 8
- Chagua maana ya neno 'inayonusurika' kama lilivyotumika:Question 9
- Kulingana na aya ya kwanza:Question 10
- Kwa nini Salome aliuangalia ujumbe mara tatu?Question 11
- Ni hatua gani ya kiusalama iliyochukuliwa na Salome?Question 12
- Juma na wenzake hujumuika kwa madhumuni gani?Question 13