CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 5
Neno 'sahibu' limetumika katika mazungumzo. Chagua lisilo na maana sawa:
From Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Visawe
Mazungumzo
Tina: (Kwa furaha) Sabalheri sahibu?
Rita: Aheri rafiki yangu. Habari za nyumbani?
Tina: Nzuri ndugu yangu. Umenipotelea siku nyingi. Umekuwa wapi?
Rita: Nimekuwa nikimtunza nyanya nyumbani kwake. Ameugua kwa muda mrefu sana.
Tina: Pole sana dada. Je, amepata afueni?
Rita: (Akidondokwa na machozi) La! Nyanya aliipungia dunia mkono wa buriani juzi. Kwa sasa, mipango ya mazishi yake imeshika kazi.
Tina: (Akimfariji na kumkumbatia) Kwa mara nyingine tena, pokea pole zangu. Mungu awahurumie.
Tina: (Kwa furaha) Sabalheri sahibu?
Rita: Aheri rafiki yangu. Habari za nyumbani?
Tina: Nzuri ndugu yangu. Umenipotelea siku nyingi. Umekuwa wapi?
Rita: Nimekuwa nikimtunza nyanya nyumbani kwake. Ameugua kwa muda mrefu sana.
Tina: Pole sana dada. Je, amepata afueni?
Rita: (Akidondokwa na machozi) La! Nyanya aliipungia dunia mkono wa buriani juzi. Kwa sasa, mipango ya mazishi yake imeshika kazi.
Tina: (Akimfariji na kumkumbatia) Kwa mara nyingine tena, pokea pole zangu. Mungu awahurumie.
Neno 'sahibu' limetumika katika mazungumzo. Chagua lisilo na maana sawa:
- ARafiki
- BMwenzi
- CMwandani
- DMuhibu
Answer
D. Muhibu
Sahibu ina maana ya rafiki/mwandani/mwenzi. 'Muhibu' kwa kawaida humaanisha mpenzi/kipenzi (maana ya mapenzi), si rafiki wa kawaida, hivyo haina maana sawa na 'sahibu' katika muktadha huu.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Mvua husababisha madhara gani?Question 6
- Ni kitu gani kinachosababisha maafa ya wanyama wa porini?Question 7
- Ni kwa nini si salama kutembea usiku?Question 8
- Chagua maana ya neno 'inayonusurika' kama lilivyotumika:Question 9
- Kulingana na aya ya kwanza:Question 10
- Kwa nini Salome aliuangalia ujumbe mara tatu?Question 11