naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 17

Chagua neno sahihi:

From Test 18 — Lugha: Formative Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi Vimilikishi

Kifungu
Mojawapo ya mambo taifa linapambana nayo ni magonjwa na ajira za watoto. Mtoto ana haki zake ambazo anastahili kapewa. Watu wote wanapaswa kuweka malengo yao pamoja na kushirikiana ili kulinda haki za watoto.

Chagua neno sahihi:

  1. Ayetu
  2. Bletu
  3. Cchetu
  4. Dkwetu

Answer

B. letu

Nomino 'taifa' iliyotajwa kwenye kifungu ni ya ngeli ya LI-/YA- (umoja), hivyo kiwakilishi kimilikishi sahihi chake ni 'letu' (taifa letu = our nation).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test