CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: End Term 2 Assessment 2026 (Set 11)
Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 50 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: a) Mazungumzo haya yalifanyika wakati gani?Answer: Wakati wa jioni, baada ya shule.
- Question 2: b) Neno sare lina maana gani katika mazungumzo haya?Answer: Nguo maalum za shule (unifomu).
- Question 3: c) Mama wa Rehema alikuwa anaenda kufanya kazi gani?Answer: Kuandaa chakula cha jioni jikoni.
- Question 4: d) Ni nani aliyempa Rehema kazi ya ziada?Answer: Mwalimu
- Question 5: e) Tabia ya Rehema kukubali kufanya kazi inaonyesha nini?Answer: Ni mtiifu na ana bidii.
- Question 6: a) Mwanzoni, maisha ya Hodari na familia yake yalikuwa ___Answer: ya furaha na amani
- Question 7: b) Taja kazi moja aliyokuwa akifanya HodariAnswer: Kazi za nyumbani kwa tajiri
- Question 8: c) Kisa hiki kinamhusu nani?Answer: Hodari
- Question 9: d) Ni nani aliyepoteza kazi?Answer: Baba yake Hodari (Bwana Omar)
- Question 10: e) Ni vibaya kumnyima mtoto haki ya ___Answer: elimu
- Question 11: Kanusha sentensi zifuatazo: a) Yeye ataegesha gari karibu na soko.Answer: Yeye hataegesha gari karibu na soko.
- Question 12: b) Wewe unapenda chakula kitamu.Answer: Wewe hupendi chakula kitamu.
- Question 13: c) Alisoma hadithi.Answer: Hakusoma hadithi.
- Question 14: Andika neno sahihi la nafasi (4).Answer: nyingi
- Question 15: Andika neno sahihi la nafasi (5).Answer: kutaga
- Question 16: Andika neno sahihi la nafasi (6).Answer: hayo
- Question 17: Andika neno sahihi la nafasi (7).Answer: moja
- Question 18: Andika neno sahihi la nafasi (8).Answer: yake
- Question 19: Ambatanisha nomino hizi kuunda nomino ambata (kanzu, hazina, sesere): a. Mweka + ___Answer: Mwekahazina
- Question 20: b. Mwana + ___Answer: Mwanasesere
- Question 21: c. Askari + ___Answer: Askarikanzu
- Question 22: Tegua kitendawili kifuatacho: Achora lakini hana kalamuAnswer: Konokono
- Question 23: a. Kisawe cha neno barabara ni ___Answer: njia
- Question 24: b. Taja viungo viwili vya upishi.Answer: Kitunguu na chumvi
- Question 25: c. Tunga sentensi ukitumia nomino hii: UpishiAnswer: Upishi wa mama unapendeza sana.
- Question 26: c. Tunga sentensi ukitumia nomino hii: PichaAnswer: Kaka alipiga picha nzuri sana.
- Question 27: d. Jibu maamkizi haya: "Alamsiki"Answer: Binuru
- Question 28: a) Kifaa hiki hutumika ___Answer: kutazama vipindi na habari
- Question 29: b) Kikundi cha matunda huitwa ___ (pakacha, mtumba, numbi)Answer: pakacha
- Question 30: c) Kifaa hiki huitwa ___Answer: runinga
- Question 31: Andika sentensi hizi kwa wingi: a) Ndoo hii imejaa majiAnswer: Ndoo hizi zimejaa maji.
- Question 32: b) Ukuta huu umebomokaAnswer: Kuta hizi zimebomoka.
- Question 33: a) Sentensi moja katika ushairi huitwa ___Answer: mshororo
- Question 34: b) Andika nambari 400 kwa maneno.Answer: mia nne
- Question 35: a) Ni nani waliofunga ndoa katika hadithi hii?Answer: Shangazi Zainabu na Jabali
- Question 36: b) Watu walitaka kumwona nani akifunga ndoa?Answer: Shangazi yao Zainabu
- Question 37: c) Jina la bwana harusi lilikuwa nani?Answer: Jabali
- Question 38: d) Baada ya harusi, walienda wapi?Answer: Uarabuni
- Question 39: e) Tamathali ya usemi kufunga pingu za maisha ina maana gani?Answer: Kuoa au kuolewa (kufunga ndoa)
- Question 40: (a) Andika neno la nafasi (a).Answer: mkubwa
- Question 41: (b) Andika neno la nafasi (b).Answer: kuandika
- Question 42: (c) Andika neno la nafasi (c).Answer: kuwasiliana
- Question 43: (d) Andika neno la nafasi (d).Answer: ambao
- Question 44: (e) Andika neno la nafasi (e).Answer: nyingi
- Question 45: Kanusha sentensi ifuatayo: Alisoma hadithi.Answer: Hakusoma hadithi.
- Question 46: Andika sentensi ifuatayo kwa wingi: Ndoo hii imejaa maji.Answer: Ndoo hizi zimejaa maji.
- Question 47: Andika kisawe cha neno barabara:Answer: njia
- Question 48: Tegua kitendawili kifuatacho: Nyama nje ngozi ndani.Answer: Firigisi
- Question 49: Kamilisha methali hii: Kidole kimoja hakivunji ___Answer: chawa
- Question 50: Tumia kimilikishi -ake ipasavyo katika sentensi: Mtoto analilia kalamu ___Answer: yake