CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 2
b) Neno sare lina maana gani katika mazungumzo haya?
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Msamiati
Soma mazungumzo haya kisha ujibu maswali.
Rehema: (Akiutoa mkoba mabegani) Mama, umeshindaje leo?
Mama: Nimeshinda vyema sana. Na wewe mwanangu je?
Rehema: Nami pia nimekuwa vyema.
Mama: Nenda ukafue sare zako. Nami naenda jikoni kuandaa chakula cha jioni.
Rehema: Sawa mama. Pia nataka kufanya kazi ya ziada niliyopewa na mwalimu.
1. b) Neno sare lina maana gani katika mazungumzo haya?
Answer
Nguo maalum za shule (unifomu).
Sare ni unifomu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- c) Mama wa Rehema alikuwa anaenda kufanya kazi gani?Question 3
- d) Ni nani aliyempa Rehema kazi ya ziada?Question 4
- e) Tabia ya Rehema kukubali kufanya kazi inaonyesha nini?Question 5
- a) Mwanzoni, maisha ya Hodari na familia yake yalikuwa ___Question 6
- b) Taja kazi moja aliyokuwa akifanya HodariQuestion 7
- c) Kisa hiki kinamhusu nani?Question 8