CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 1
a) Mazungumzo haya yalifanyika wakati gani?
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu
Soma mazungumzo haya kisha ujibu maswali.
Rehema: (Akiutoa mkoba mabegani) Mama, umeshindaje leo?
Mama: Nimeshinda vyema sana. Na wewe mwanangu je?
Rehema: Nami pia nimekuwa vyema.
Mama: Nenda ukafue sare zako. Nami naenda jikoni kuandaa chakula cha jioni.
Rehema: Sawa mama. Pia nataka kufanya kazi ya ziada niliyopewa na mwalimu.
1. a) Mazungumzo haya yalifanyika wakati gani?
Answer
Wakati wa jioni, baada ya shule.
Mama anaandaa chakula cha jioni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- b) Neno sare lina maana gani katika mazungumzo haya?Question 2
- c) Mama wa Rehema alikuwa anaenda kufanya kazi gani?Question 3
- d) Ni nani aliyempa Rehema kazi ya ziada?Question 4
- e) Tabia ya Rehema kukubali kufanya kazi inaonyesha nini?Question 5
- a) Mwanzoni, maisha ya Hodari na familia yake yalikuwa ___Question 6
- b) Taja kazi moja aliyokuwa akifanya HodariQuestion 7