naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 3

c) Mama wa Rehema alikuwa anaenda kufanya kazi gani?

From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu

Soma mazungumzo haya kisha ujibu maswali.
Rehema: (Akiutoa mkoba mabegani) Mama, umeshindaje leo?
Mama: Nimeshinda vyema sana. Na wewe mwanangu je?
Rehema: Nami pia nimekuwa vyema.
Mama: Nenda ukafue sare zako. Nami naenda jikoni kuandaa chakula cha jioni.
Rehema: Sawa mama. Pia nataka kufanya kazi ya ziada niliyopewa na mwalimu.

1. c) Mama wa Rehema alikuwa anaenda kufanya kazi gani?

Answer

Kuandaa chakula cha jioni jikoni.

"Naenda jikoni kuandaa chakula cha jioni."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test