CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 5
e) Tabia ya Rehema kukubali kufanya kazi inaonyesha nini?
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu
Soma mazungumzo haya kisha ujibu maswali.
Rehema: (Akiutoa mkoba mabegani) Mama, umeshindaje leo?
Mama: Nimeshinda vyema sana. Na wewe mwanangu je?
Rehema: Nami pia nimekuwa vyema.
Mama: Nenda ukafue sare zako. Nami naenda jikoni kuandaa chakula cha jioni.
Rehema: Sawa mama. Pia nataka kufanya kazi ya ziada niliyopewa na mwalimu.
1. e) Tabia ya Rehema kukubali kufanya kazi inaonyesha nini?
Answer
Ni mtiifu na ana bidii.
Alikubali bila kulalamika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- a) Mwanzoni, maisha ya Hodari na familia yake yalikuwa ___Question 6
- b) Taja kazi moja aliyokuwa akifanya HodariQuestion 7
- c) Kisa hiki kinamhusu nani?Question 8
- d) Ni nani aliyepoteza kazi?Question 9
- e) Ni vibaya kumnyima mtoto haki ya ___Question 10
- Kanusha sentensi zifuatazo: a) Yeye ataegesha gari karibu na soko.Question 11