CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 11
Kanusha sentensi zifuatazo: a) Yeye ataegesha gari karibu na soko.
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
3. Kanusha sentensi zifuatazo:
a) Yeye ataegesha gari karibu na soko.
Answer
Yeye hataegesha gari karibu na soko.
Kanusha kitenzi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.