CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 15
Andika neno sahihi la nafasi (5).
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho
Chagua jibu sahihi kutoka kwenye mabano:
Baada ya siku (4) ______ (mingi, nyingi) kuku alianza (5) ______ (kutaga, kutoa) mayai. Alifurahi sana. Alitaka mayai (6) ______ (hiyo, hayo) yote yatoe vifaranga. Jioni (7) ______ (moja, monja), aliporudi kibandani alianza kuatamia mayai (8) ______ (zake, yake).
(5) Andika neno sahihi la nafasi (5).
Answer
kutaga
Kuku hutaga mayai.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.