CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 40
(a) Andika neno la nafasi (a).
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Pengo
Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa maneno sahihi.
Elimu ni kitu chenye umuhimu (a) ______ kwetu. Elimu hutufanya tujue kusoma na (b) ______. Bila elimu hatuwezi (c) ______ na wenzetu kwa njia ya kuandika au kusoma. Watu (d) ______ hawajasoma hukumbwa na changamoto. Changamoto hizo ni (e) ______.
12. (a) Andika neno la nafasi (a).
Answer
mkubwa
Neno linalofaa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.