CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 44
(e) Andika neno la nafasi (e).
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Pengo
Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa maneno sahihi.
Elimu ni kitu chenye umuhimu (a) ______ kwetu. Elimu hutufanya tujue kusoma na (b) ______. Bila elimu hatuwezi (c) ______ na wenzetu kwa njia ya kuandika au kusoma. Watu (d) ______ hawajasoma hukumbwa na changamoto. Changamoto hizo ni (e) ______.
12. (e) Andika neno la nafasi (e).
Answer
nyingi
Neno linalofaa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi ifuatayo: Alisoma hadithi.Question 45
- Andika sentensi ifuatayo kwa wingi: Ndoo hii imejaa maji.Question 46
- Andika kisawe cha neno barabara:Question 47
- Tegua kitendawili kifuatacho: Nyama nje ngozi ndani.Question 48
- Kamilisha methali hii: Kidole kimoja hakivunji ___Question 49
- Tumia kimilikishi -ake ipasavyo katika sentensi: Mtoto analilia kalamu ___Question 50