CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 35
a) Ni nani waliofunga ndoa katika hadithi hii?
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Ilikuwa likizo ya mwezi wa Aprili. Mimi na dada yangu Pendo tulihudhuria harusi ya shangazi yetu aitwaye Zainabu. Tulialikwa kubeba pete za bibi na bwana harusi. Watu wengi walihudhuria harusi hiyo iliyokuwa ya kufana sana. Kila mtu alifurahia kuona shangazi yetu akifunga ndoa na mpenzi wake Jabali.
Kulikuwa na vyakula vingi kama keki na vinywaji vya aina mbalimbali. Baada ya sherehe, shangazi yetu na mume wake walipanda ndege na kusafiri kwenda Uarabuni.
11. a) Ni nani waliofunga ndoa katika hadithi hii?
Answer
Shangazi Zainabu na Jabali
Zainabu na Jabali.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- b) Watu walitaka kumwona nani akifunga ndoa?Question 36
- c) Jina la bwana harusi lilikuwa nani?Question 37
- d) Baada ya harusi, walienda wapi?Question 38
- e) Tamathali ya usemi kufunga pingu za maisha ina maana gani?Question 39
- (a) Andika neno la nafasi (a).Question 40
- (b) Andika neno la nafasi (b).Question 41