CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026: Term 2 Opener Assessment 2026 Set 8 (Lugha)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 Set 8 (Lugha) · Term 2 Opener Assessment 2026 Set 8 (Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusoma.
All 30 questions with answers
- Question 1: Kwa nini muuzaji hakujibu swali la mteja mwanzoni?Answer: Kwa sababu alijibu salamu ya mteja kwanza, kisha akaanza kumwonyesha mboga zake.
- Question 2: Muuzaji huyu anaweza pia kuwa nani?Answer: Anaweza kuwa mkulima kwa sababu alivuna mboga hizo kutoka shambani mwake.
- Question 3: Eleza maana ya methali "Chema chajiuza."Answer: Kitu kizuri hakihitaji kutangazwa; ubora wake huwavutia wanunuzi chenyewe.
- Question 4: Kwa nini mteja hakununua karoti?Answer: Kwa sababu bado alikuwa na karoti nyingi alizonunua jana.
- Question 5: Ni tukio gani linaonyesha matumizi ya teknolojia katika mazungumzo haya?Answer: Mteja alisema atalipa kwa simu.
- Question 6: Kwa nini Sungura alijulikana sana katika kijiji?Answer: Kwa sababu alithamini na kupenda usafi.
- Question 7: Sungura alipiga mswaki wakati gani?Answer: Asubuhi na jioni kila siku.
- Question 8: Sungura alinawa mikono lini?Answer: Kabla ya kula chakula na kila ilipohitajika.
- Question 9: Usafi una faida gani kwa afya ya mtu?Answer: Usafi humsaidia mtu kuwa na afya njema na kuepuka magonjwa.
- Question 10: Sungura alikuwa mfano bora kwa nani katika kijiji?Answer: Kwa wanakijiji wote.
- Question 11: Wafula na rafiki yake walikuwa wakienda wapi?Answer: Walikuwa wakienda Nairobi.
- Question 12: Kwa nini dereva aliendesha gari kwa tahadhari?Answer: Ili kuepuka ajali.
- Question 13: Walipofika Nakuru walikula nini?Answer: Walikula chamcha.
- Question 14: Walimpata mjomba wao wapi walipofika Nairobi?Answer: Kwenye stani ya magari.
- Question 15: Walikuwa wanaenda kumtembelea nani?Answer: Mjomba wa Wafula.
- Question 16: Mama Rehema alienda ___(16)___ kununua nyama.Answer: A. Sokoni
- Question 17: ___(17)___ aliweka mkoba wake chini katika buchari.Answer: A. Alipofika
- Question 18: ...aliweka mkoba wake chini katika ___(18)___.Answer: A. Buchari
- Question 19: Alijiunga na wanunuzi wengine ili apimiwe nyama kwa ___(19)___.Answer: A. Ratili
- Question 20: Alilipa kwa ___(20)___.Answer: C. Pesa
- Question 21: Ikiwa jana ilikuwa Jumatatu, kesho ni siku gani?Answer: Jumatano.
- Question 22: Andika nomino moja.Answer: Kitabu
- Question 23: Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Mimi ni mwanafunzi mzuri.Answer: Sisi ni wanafunzi wazuri.
- Question 24: Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kutumia neno sahihi: Mtoto ___ anapenda kucheza.Answer: mdogo
- Question 25: Taja kifaa kimoja ambacho hakitumiki darasani.Answer: Sufuria
- Question 26: Andika kitenzi kimoja katika sentensi.Answer: Mtoto anacheza mpira.
- Question 27: Taja rangi moja ya bendera ya Kenya.Answer: Nyekundu
- Question 28: Andika kinyume cha neno walipanga.Answer: walipangua
- Question 29: Pahali pesa huhifadhiwa panaitwaje?Answer: Benki
- Question 30: Kanusha sentensi ifuatayo: Alisoma kitabu.Answer: Hakusoma kitabu.