CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 29
Pahali pesa huhifadhiwa panaitwaje?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 Set 8 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Pahali pesa huhifadhiwa panaitwaje?
Answer
Benki
Pesa huhifadhiwa benki kwa usalama. Nyumbani watu wengine huhifadhi pesa kwenye kibubu au sanduku la fedha.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi ifuatayo: Alisoma kitabu.Question 30
- Kwa nini muuzaji hakujibu swali la mteja mwanzoni?Question 1
- Muuzaji huyu anaweza pia kuwa nani?Question 2
- Eleza maana ya methali "Chema chajiuza."Question 3
- Kwa nini mteja hakununua karoti?Question 4
- Ni tukio gani linaonyesha matumizi ya teknolojia katika mazungumzo haya?Question 5