CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 28
Andika kinyume cha neno walipanga.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 Set 8 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Andika kinyume cha neno walipanga.
Answer
walipangua
Kupanga ni kuweka vitu kwa mpangilio; kinyume chake ni kupangua (kuondoa mpangilio). Walipanga → walipangua.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.