naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 20

Alilipa kwa ___(20)___.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 Set 8 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

Jaza nafasi zilizoachwa wazi.

Mama Rehema alienda ____(16)____ kununua nyama. ____(17)____ aliweka mkoba wake chini katika ____(18)____. Alijiunga na wanunuzi wengine ili apimiwe nyama kwa ____(19)____. Alilipa kwa ____(20)____.

Alilipa kwa ____(20)____.

  1. AVikombe
  2. BSarufi
  3. CPesa
  4. DMapeni

Answer

C. Pesa

Bidhaa hulipiwa kwa pesa. "Mapeni" si neno sahihi la Kiswahili sanifu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test