naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 18

...aliweka mkoba wake chini katika ___(18)___.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 Set 8 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi zilizoachwa wazi.

Mama Rehema alienda ____(16)____ kununua nyama. ____(17)____ aliweka mkoba wake chini katika ____(18)____. Alijiunga na wanunuzi wengine ili apimiwe nyama kwa ____(19)____. Alilipa kwa ____(20)____.

...aliweka mkoba wake chini katika ____(18)____.

  1. ABuchari
  2. BHospitali
  3. CShambani
  4. DJioni

Answer

A. Buchari

Buchari ni duka linalouza nyama, mahali ambapo Mama Rehema alienda kununua nyama.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test