CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025: Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Ni rangi gani kwenye bendera ya Kenya inayowakilisha amani na umoja?Answer: A. Nyeupe
- Question 2: Rangi gani kwenye bendera ya Kenya inaashiria damu iliyomwagika kupata uhuru?Answer: B. Nyekundu
- Question 3: Ni rangi gani inayoonyesha maendeleo na utajiri kwenye bendera ya Kenya?Answer: A. Rangi ya kijani
- Question 4: Rangi nyeusi kwenye bendera ya Kenya inaashiria nini?Answer: D. Wananchi waafrika.
- Question 5: Kwa nini ni muhimu kuheshimu na kuelewa maana ya bendera ya Kenya?Answer: C. Kwa sababu inawakilisha historia na thamani za taifa.
- Question 6: Kazi kuu zilizofanywa katika siku ya kusafisha mazingira ni zipi?Answer: C. Kusafisha mito, barabara na kupanda miti.
- Question 7: Kwa nini usafi wa mazingira ni muhimu?Answer: B. Kwa afya ya binadamu na viumbe wengine na kudumisha maisha ya baadaye duniani.
- Question 8: Ni nani aliyeongoza wenyeji katika kusafisha mazingira?Answer: A. Mzee Simba
- Question 9: Ni nini hasa kinachohusika katika jitihada za usafi wa mazingira?Answer: C. Kutunza na kudumisha mazingira kwa kuepuka uchafuzi wa hewa, maji na ardhi, kudhibiti taka na kukuza…
- Question 10: Rubani Jabali alifanya kazi gani katika mji?Answer: D. Kusafirisha abiria na mizigo kwa ndege.
- Question 11: Kazi ya Babu Hassan ilikuwa gani bandarini?Answer: C. Kulinda usalama.
- Question 12: Ni kazi gani iliyofanywa na Ahmed kwenye soko la mji?Answer: C. Kuuza samaki sokoni.
- Question 13: Kulingana na kifungu hiki, eleza maana ya nyumbani.Answer: B. Mahali pa kujenga uhusiano wa karibu na familia na marafiki.
- Question 14: Ni nini husisitiza umuhimu wa nyumbani kulingana na kifungu?Answer: C. Uwezo wa kujieleza bila kizuizi.
- Question 15: Ni nini hufanya dhana ya nyumbani kuwa na utofauti?Answer: B. Tamaduni, maeneo na mazingira
- Question 16: Nafasi ya 16Answer: A. gredi
- Question 17: Nafasi ya 17Answer: C. wao
- Question 18: Nafasi ya 18Answer: B. kilimo
- Question 19: Nafasi ya 19Answer: C. lakini
- Question 20: Nafasi ya 20Answer: D. yake
- Question 21: Tumia jibu mwafaka kujaza pengo. Wananchi ___ ni wazalendoAnswer: B. hawa
- Question 22: Mwezi wa sita katika mwaka huitwaAnswer: B. Juni
- Question 23: Kanusha sentensi hii. Msomaji alisoma kitabu hiki.Answer: C. Msomaji hakusoma kitabu hiki.
- Question 24: Kinyume cha neno andika niAnswer: B. futa
- Question 25: Kifaa hiki hutumika kufanya kazi gani?Answer: C. Kufagia
- Question 26: Upi si msamiati wa dukani?Answer: D. Dawati.
- Question 27: Chagua nomino katika sentensi hii. Wao hupenda kusoma kitabu.Answer: D. Kitabu
- Question 28: Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi. Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.Answer: C. Wao walitia bidii katika masomo yao
- Question 29: Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Answer: C. Mwiko
- Question 30: Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?Answer: B. Sijambo