CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 17
Nafasi ya 17
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu hiki kisha uchague jibu sahihi kujaza nafasi za 16 hadi 20.
Bahati na Maria ni wanafunzi wa __16__ ya nne. Shule zinapofungwa __17__ hupanga kazi ambazo watafanya wakati wa likizo. Bahati anapenda __18__ naye Maria anapenda biashara. Bahati anapenda kilimo __19__ anaogopa kukifanya. Maria naye anapanga kumsaidia mama __20__ kufanya biashara wakati huo wa likizo.
Nafasi ya 17
- Ayeye
- Blao
- Cwao
- Dsisi
Answer
C. wao
Bahati na Maria ni watu wawili: "wao hupanga kazi".