naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 21

Tumia jibu mwafaka kujaza pengo. Wananchi ___ ni wazalendo

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi

Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.

21. Tumia jibu mwafaka kujaza pengo.
Wananchi _______ ni wazalendo

  1. Ahuyu
  2. Bhawa
  3. Chizi
  4. Dyangu

Answer

B. hawa

Wananchi ni wengi (ngeli ya A-WA, wingi): "wananchi hawa".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test