CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 24
Kinyume cha neno andika ni
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.
24. Kinyume cha neno andika ni
- Achora
- Bfuta
- Cpiga chapa
- Dkitabu
Answer
B. futa
Kinyume cha kuandika ni kufuta.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kifaa hiki hutumika kufanya kazi gani?Question 25
- Upi si msamiati wa dukani?Question 26
- Chagua nomino katika sentensi hii. Wao hupenda kusoma kitabu.Question 27
- Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi. Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.Question 28
- Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Question 29
- Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?Question 30