CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 30
Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkuzi na Maagano
Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.
30. Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?
- AJambo
- BSijambo
- CNzuri
- DVyema.
Answer
B. Sijambo
Jibu la "Hujambo?" ni "Sijambo".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni rangi gani kwenye bendera ya Kenya inayowakilisha amani na umoja?Question 1
- Rangi gani kwenye bendera ya Kenya inaashiria damu iliyomwagika kupata uhuru?Question 2
- Ni rangi gani inayoonyesha maendeleo na utajiri kwenye bendera ya Kenya?Question 3
- Rangi nyeusi kwenye bendera ya Kenya inaashiria nini?Question 4
- Kwa nini ni muhimu kuheshimu na kuelewa maana ya bendera ya Kenya?Question 5
- Kazi kuu zilizofanywa katika siku ya kusafisha mazingira ni zipi?Question 6