CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 27
Chagua nomino katika sentensi hii. Wao hupenda kusoma kitabu.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.
27. Chagua nomino katika sentensi hii.
Wao hupenda kusoma kitabu.
- AWao
- BHupenda
- CKusoma
- DKitabu
Answer
D. Kitabu
"Kitabu" ni jina la kitu: nomino.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi. Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.Question 28
- Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Question 29
- Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?Question 30
- Ni rangi gani kwenye bendera ya Kenya inayowakilisha amani na umoja?Question 1
- Rangi gani kwenye bendera ya Kenya inaashiria damu iliyomwagika kupata uhuru?Question 2
- Ni rangi gani inayoonyesha maendeleo na utajiri kwenye bendera ya Kenya?Question 3