CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 28
Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi. Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.
28. Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi.
Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.
- AYeye alitia bidii katika masomo yao
- BSisi walitia bidii katika masomo yao
- CWao walitia bidii katika masomo yao
- DWanafunzi hawakutia bidii katika masomo yao
Answer
C. Wao walitia bidii katika masomo yao
Wanafunzi ni wengi, kwa hivyo kiwakilishi ni "wao".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Question 29
- Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?Question 30
- Ni rangi gani kwenye bendera ya Kenya inayowakilisha amani na umoja?Question 1
- Rangi gani kwenye bendera ya Kenya inaashiria damu iliyomwagika kupata uhuru?Question 2
- Ni rangi gani inayoonyesha maendeleo na utajiri kwenye bendera ya Kenya?Question 3
- Rangi nyeusi kwenye bendera ya Kenya inaashiria nini?Question 4