CBC Grade 4 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 26
Upi si msamiati wa dukani?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 7) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Jibu swali la 21 hadi 30 kulingana na maagizo.
26. Upi si msamiati wa dukani?
- AMnunuzi
- BBei
- CFaida
- DDawati.
Answer
D. Dawati.
Dawati ni la darasani; mnunuzi, bei na faida ni maneno ya dukani.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino katika sentensi hii. Wao hupenda kusoma kitabu.Question 27
- Andika upya sentensi hii ukitumia kiwakilishi. Wanafunzi walitia bidii katika masomo yao.Question 28
- Ni kifaa kipi hakipatikani sebuleni?Question 29
- Mtu akikusalimu hujambo, utajibu vipi?Question 30
- Ni rangi gani kwenye bendera ya Kenya inayowakilisha amani na umoja?Question 1
- Rangi gani kwenye bendera ya Kenya inaashiria damu iliyomwagika kupata uhuru?Question 2